Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 7, 2025 #1 Sijaona Chochote zaidi ya Migogoro na kulogana, Hebu angalieni Chama cha soka cha Temeke, miaka yoyote ni migogoro, fitna, Majungu na Uchawi. Nashauri Vyama vya soka vya Wilaya Vifutwe, havina faida yoyote kwa maendeleo ya soka, Bali tukivifuta tutaokoa maisha ya watu maana hawatalogana
Sijaona Chochote zaidi ya Migogoro na kulogana, Hebu angalieni Chama cha soka cha Temeke, miaka yoyote ni migogoro, fitna, Majungu na Uchawi. Nashauri Vyama vya soka vya Wilaya Vifutwe, havina faida yoyote kwa maendeleo ya soka, Bali tukivifuta tutaokoa maisha ya watu maana hawatalogana
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Feb 7, 2025 #2 They coordinate umiseta ....umitashunta etc Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 7, 2025 Thread starter #3 Labani og said: They coordinate umiseta ....umitashunta etc Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app Click to expand... Ni lini uliona hiyo michuano
Labani og said: They coordinate umiseta ....umitashunta etc Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app Click to expand... Ni lini uliona hiyo michuano
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Feb 7, 2025 #4 Riziki mwanzo wa chuki, wanarogana sana sababu ya kupiga pesa, kuna ujanja ujanja wa hali ya juu.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Feb 7, 2025 Thread starter #5 makaveli10 said: Riziki mwanzo wa chuki, wanarogana sana sababu ya kupiga pesa, kuna ujanja ujanja wa hali ya juu. Click to expand... Vifutwe
makaveli10 said: Riziki mwanzo wa chuki, wanarogana sana sababu ya kupiga pesa, kuna ujanja ujanja wa hali ya juu. Click to expand... Vifutwe
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Feb 8, 2025 #6 Labani og said: They coordinate umiseta ....umitashunta etc Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app Click to expand... Hiyo michezo ipo chini ya Tamisemi.
Labani og said: They coordinate umiseta ....umitashunta etc Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app Click to expand... Hiyo michezo ipo chini ya Tamisemi.