Jamani kama video inavyojieleza, wakazi wa Mwananyamala wanakusanyana kwenye ofisi za serikali ya mtaa, wanapigwa picha na kulipwa shilingi 5,000 kila mmoja. Picha hazijulikani ni za nini. Na kwa siku wanalipwa hadi watu 100 mpaka 120. Hapa kuna mchezo wa uchaguzi wa 2020. Vyama vya upinzani viingilie kati / vihoji hili zoezi. Hao wapiga picha na Mwenyekiti wa mtaa wabanwe vizuri hizo picha ni za nini!! Haya si maandalizi ya kura fake haya jamani?!
Fatilia vizuri hii video mjionee tulikofikia sasa kama nchi.
Endeleeni kukariri!
ccm inatia aibu sana !
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuunga mkono ujinga wa ccm , wamo watu humo hawaungi mkono huo ujinga , wamo tu wanawachora , Masikini wakubwa nyie !Endeleeni kukariri!
Kwani kila anayeweza kupata picha ni chombo cha habari? Huyo ni mtoa taarifa tuSasa 'chombo cha habari' kinafika hadi eneo la tukio halafu kinaondoka bila ya kuwa na taarifa? Tukio lenyewe linafanyika katika ofisi ya serikali ya mitaa, wameshindwa hata kuwauliza viingozi kwenye hiyo ofusi? Wameshindwa hata kuwauliza hao wanaopiga picha?
Nami pia nimejiuliza lakini nimegundua huyu si authorize journalist.Sasa 'chombo cha habari' kinafika hadi eneo la tukio halafu kinaondoka bila ya kuwa na taarifa? Tukio lenyewe linafanyika katika ofisi ya serikali ya mitaa, wameshindwa hata kuwauliza viingozi kwenye hiyo ofusi? Wameshindwa hata kuwauliza hao wanaopiga picha?
mnataka kumteka ?Nami pia nimejiuliza lakini nimegundua huyu si authorize journalist.
unapata taaaaabuuuu utakonda bure hamia ccm huku ni furuuu shangwe tu hatuna presha utakufa bureHakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuunga mkono ujinga wa ccm , wamo watu humo hawaungi mkono huo ujinga , wamo tu wanawachora , Masikini wakubwa nyie !
Tumepata taarifa kwamba mmepanga kumteka Gea Habib baada ya kufichua uchafu wenu , mtekeni tuone
ni heri kufa kimwili kuliko kufa kiakiliunapata taaaaabuuuu utakonda bure hamia ccm huku ni furuuu shangwe tu hatuna presha utakufa bure
akili tunazo za kutosha nyie ndiyo mnahadaiwa na wachumia tumbo wenu kina mbowe na huyo shoga wenu lissu na myie mnakubali tu wenzenu wanakula tu hamna akili hata ya kuvukia barabarani heri kufa kimwili kuliko kufa kiakili