Uchaguzi 2020 Vyama vya upinzani vimefanya kazi kubwa ya msingi kuipa hofu na kuisimamia Serikali ya CCM

Uchaguzi 2020 Vyama vya upinzani vimefanya kazi kubwa ya msingi kuipa hofu na kuisimamia Serikali ya CCM

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
5,610
Reaction score
13,168
Ni dhahiri CCM hawajalala wanachapa kazi, hii inathibitishwa na maslahi ya wananchi kuzingatiwa na kufatiliwa kuanzia mkuu wa nchi, PM, RC, DC, DED mchaka mchaka, huku wakiwalaumu, kuwabana, kuwafitinisha wapinzani.

Demokrasia ya mfumo wa vyama vingi ndio mfumo bora wa checks and balance. Dunia ya leo hatuna tena wazalendo kina Nyerere, Mandela.

Salama yetu tuongeze wapinzani tupate Katiba bora tuachane na kukasimu hatima ya nchi yetu kwa mtu na kikundi kidogo cha wanasiasa.

Tupeane mbinu za kulinda kura zetu na heshima yetu, kuna kikundi kinajiapiza kufuta wengine sijui mamlaka kimeyatoa wapi?
 
Back
Top Bottom