Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani vingekuwa na umoja huu Uchaguzi ulikuwa wa kususiwa

Hivi wale wenyeviti wa mtaa bado chadema haiwatambui mpaka leo?

Au ndo yaleyale ya kusema hatuwatambui baada ya wiki moja tu tunawatambua.
 
Nimuwekee sumu ndugu yangu kwa sababu wachaga wanataka kuingia ikulu!!!??
 
Ni matumsini yetu rungwe akiingia madarakani atafumua mifumo yote ya uchaguzi , bunge na mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…