Nimesema hivyo sababu nina imani bw. Lipumba anajua moyoni mwake kuwa matokeo yaliyotangazwa na nec hayaoneshi hali halisi....
Akilijua hilo, kaenda viwanja vya karimjee kumpongeza jk.... Huyu anaimarisha upinzani au anauua?
Tutaendelea na mapinduzi ya kifikra mpaka kieleweke