kilio changu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 408
- 216
Ndugu zangu Watanzania
Naomba msaada wa kujua vyama vya wachimbaji madini wadogo wadogo (Association of small scale mines), hata kama hujui vyama vyao ila kama kuna eneo lenye wachimbaji wadogo naomba unisaidie jina la eneo na kama unajua aina ya madini wanayochimba huko
Kuna mpando wa kuona changamoto zao na jinsi ambavyo wanaweza kuwezeshwa, hivyo mwenye kufahamu lolote juu ya hili naomba aandike hapa.
Wako katika ujenzi wa Taifa.
Kilio Changu kwa Tanzania.