Habari wanajamii,
Kama kuna mtu yoyote anahitaji ushauri kuhusu processing ya madini ya Dhahabu na Shaba tu,anaweza kuwasiliana na mimi mana kuna kampuni ya vijana yenye uzoefu na mambo ya madini hayo na pia kama kuna mtu anataka kuanzisha Plant yake kwa ajili ya kuprocess tails kwa kutumia Cyanide na anahitaji ushauri au Engineer wa kumtumia katika kusajili Plant yake,unaweza kuni pm na tutakusaidia katika kila jambo.
Wenu
Joel