Vyama vya wanafunzi elimu ya juu.

Fursa Pesa

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2012
Posts
4,631
Reaction score
3,527
Vyama vya mahala wanakotoka wanafunzi wa elimu ya juu vinachochea ukabila na ukanda au ni chachu ya maendeleo katika maeneo watokako?
 
Nawasubiri waliojiunga. Mimi sioni sabau ya kujiunga, kama ningekuwa nje ya Tanzania ningejiunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…