Vyama vyetu vya Siasa hakuna chenye mahusiano ya Kirafiki na HAMAS ya Palestine?

Vyama vyetu vya Siasa hakuna chenye mahusiano ya Kirafiki na HAMAS ya Palestine?

Hadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh

Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
Wajaribu waone, karibia na uchaguzi hivi, atakayesapoti hamas waziwazi hatakuwa na kura za mwakani toka kundi fulani hivi.
 
Hata Mandela na akina Mugabe nao walipachikwa jina hilo hilo “Magaidi “
Someni historia wajameni. 😅😂🙌👍
 
Hadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh

Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?

PIA SOMA
- Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran
Mahusiano yetu ni ya moyoni kwani walimwengu wameaminishwa ubaya wa Palestine na waamerika,waulaya wa wayahudi/waisraeli hivyo salamu zetu ni zakutoka mioyoni mwetu kwenda kwao na inawafikia.Hatuhitaji kuongeza maadui ila kuwapunguza na kuwashinda.
 
Kipindi Mollel ameuawa kinyama na Hamas..

Balozi wa Palestine alikua anazunguka kwenye baadhi ya misikiti hapa nchini. ..

Bila shaka chama kilichompa kibali huyo balozi kitakuwa na udugu na Hamas..
 
Back
Top Bottom