johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ACT WazalendoHadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
Mimi niijua HAMAS ni kikundi kama cha Mr. Barbeque wa Haiti...Hadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
Kipo ila hujakiona tu, muulize mama mmoja humu, au waseme vibaya Hamasi utakijuaHadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
ACT wachalendoHadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
Wajaribu waone, karibia na uchaguzi hivi, atakayesapoti hamas waziwazi hatakuwa na kura za mwakani toka kundi fulani hivi.Hadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
Revolutionaries as individuals can be murdered but you can not kill ideas !Hadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
PIA SOMA
- Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran
Bora Hamas kuliko Hawa mbogambogaCCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala.
ChademaBora Hamas kuliko Hawa mbogamboga
CCM ipoHadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
PIA SOMA
- Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran
CCM na HAMAS ni mtu na dada akeHAMAS siyo cha ma no kikundi cha magaidi,kina uhusiani ma bwana make Iran.Sema ccm walitakiwa kuwa ma mahusiano ma HAMAS
Mahusiano yetu ni ya moyoni kwani walimwengu wameaminishwa ubaya wa Palestine na waamerika,waulaya wa wayahudi/waisraeli hivyo salamu zetu ni zakutoka mioyoni mwetu kwenda kwao na inawafikia.Hatuhitaji kuongeza maadui ila kuwapunguza na kuwashinda.Hadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
PIA SOMA
- Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran
Swali zuri sana, ni Mtu mmoja tu anaweza kukupa jibu, mfuate inbox DADA FAIZA FOXY π€ππHadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh
Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini?
PIA SOMA
- Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran