Unatumikia bunge batili, serikali batili,. compromised judiciary and the like! Mjinga ndiye atakuona kuwa uko bungeni kama mpinzani. Uko pale kuganga njaa yako na si vinginevyo.
For example Shaibu wa ACT.Utafanya nini peke yako? Tena katika ubatili?
Trump atusaidie kuwalazimisha watawala kuwajinishwa na kufuta uchafuzi...it is only Trump can make these nincompoops surrender!Watanzania wa Leo hatuhitaji maelezo mengi ya kijinga kutoka Kwa watawala, kuna wapumbavu walisema watu wanaoipinga CCM wapo mtandaoni Tu Ila tar 29 October kilamtu alipata habari
Kwa jinsi watanzania walivyosusia uchaguzi wa mwaka huu nadhani kila mmoja Huko CCM amepata jibu
mimi naamini kuna Jambo linaenda kutokea TANZANIA Acha tuendelee Tu kusubiriTrump atusaidie kuwalazimisha watawala kuwajinishwa na kufuta uchafuzi...it is only Trump can make these nincompoops surrender!
Maridhiano ya Nchimbi mwambieni afanye na Chaumma. Vijana aka Gen-Z hawana muda mchafu. Fikisha ujumbe.Unatumikia bunge batili, serikali batili,. compromised judiciary and the like! Mjinga ndiye atakuona kuwa uko bungeni kama mpinzani. Uko pale kuganga njaa yako na si vinginevyo.
For example Shaibu wa ACT.Utafanya nini peke yako? Tena katika ubatili?