Elections 2010 vyanzo vya uchakajuaji vyaanza kubainika

Elections 2010 vyanzo vya uchakajuaji vyaanza kubainika

komagi

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
62
Reaction score
2
visiga yadaiwa kuongeza idadi ya wapiga kura zaid ya waliopiga kura idadi iliyopelekwa jimbon
 
Visiga ipi kwa kipofu au kwa madafu maana apo uwanja wa nyumbani
 
yadaiwa fomu iliyotumika kutangaza matokeo si ile ya kutoka nec ambayo inadaiwa alikuwa nayo mgombea wa ccm na msimamizi wa uchaguzi ili hali mgomea wa chadema alikuwa na fomu halisi ya nec na iliyokuwa na matokeo halisi ambayo ilikuwa inaonesha chadema imeshinda.
 
Back
Top Bottom