yadaiwa fomu iliyotumika kutangaza matokeo si ile ya kutoka nec ambayo inadaiwa alikuwa nayo mgombea wa ccm na msimamizi wa uchaguzi ili hali mgomea wa chadema alikuwa na fomu halisi ya nec na iliyokuwa na matokeo halisi ambayo ilikuwa inaonesha chadema imeshinda.