Ni hatari kwa Afya ya TaifaCcm wanagawana KULA.
Hivi vyeo tulirithi toka kwa wakoloni tukavitumia bila kuangalia madhumuni na uhitaji.Habari JF ,Ukiachana na Suala la Udiwani na Ubunge wa viti maalumu bado kuna vyeo vingi sana ambavyo kuna haja ya kuvipitia na kuona kama kuna umuhimu kuendelea kuwepo ...
Mbaya zaidi mishahara mikubwa mnoHii nchi kuendelea itakua ngumu sana tumejaza ma vyeo mengi yanayotumia hela nyingi za walipa kodi kulipa mishahara na miposho mingi kwa nafasi zisizo kuwa na mana...
Wengi Sana ila hao kuna majukumu wanaingilianaHivi wilaya moja ina viongozi wangapi.(pole)
[emoji120]Wengi Sana ila hao kuna majukumu wanaingiliana
Kuna mmoja anaonekana zaidi kwenye kukata utepeHavina, Pia kati ya waziri mkuu na makamu wa Rais kilitakiwa kibaki cheo kimoja.
Wafute vyoteHavina, Pia kati ya waziri mkuu na makamu wa Rais kilitakiwa kibaki cheo kimoja.
DED ni muhimu sn lakini vingine havina maana yoyote zaidi ya ulajiHabari JF ,Ukiachana na Suala la Udiwani na Ubunge wa viti maalumu bado kuna vyeo vingi sana ambavyo kuna haja ya kuvipitia na kuona kama kuna umuhimu kuendelea kuwepo.
Mfano Wilaya inawakilishwa na watu wafuatao
1. DC
2. DED
3. DAS
4. MP
Hivi hakuna namna ya kupunguza watu kwa kuongeza majukumu katika nafasi nyingine ?
Wengi snHivi wilaya moja ina viongozi wangapi.(pole)
Badala ya kugawana majukumuCcm wanagawana KULA.
Na kila mmoja anatumia gari lenye thamani isiyopungua M 200.Mbaya zaidi mishahara mikubwa mno
Imekuwa hasira πππWafute vyote
Nchi ya wachumia tumbo tu!DED ni muhimu sn lakini vingine havina maana yoyote zaidi ya ulaji