Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Hii kitu ni mbaya sana unakuta mtu anajiona sio binadamu wa kawaida.
Ni kweli umepambana kufika hapo ila jitahidi kuheshimu watu wote awe kapuku, Awe tajiri, Awe asiye na elimu, Awe na elimu, (heshima, heshima, heshima).
Kuweza kupata chochote kwa mda utakao hakukufanyi usiwe binadamu wa kawaida.
Kama kuna mwenye tabia kama hiyo ni vyema akabadilika. Tuifanye dunia iwe sahihi kwa kila mtu kuishi.
Asanteni.