Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Wako pia viongozi wanaolizwa na watu wa chini yao. Kiongozi ananyanyaswa na anayeongozwa.Kiburi humsongelea karibu sana aliyefanikiwa kwa ngazi yeyote ile, ukizubaa kidogo unakikuta ndani yako.
Yeah,wapo...ubabe mwingiiWako pia viongozi wanaolizwa na watu wa chini yao. Kiongozi ananyanyaswa na anayeongozwa.
Sijui naye akaseme wapi?
Vijana wanapitia mambo mengi.Si mpaka watu wakubali , kila mtu anajiona yuko juu ..Leo ukifa hata kama ulikuwa na maisha mazuri hauna thamani tena na watu watakusahau .
Mzunguko wa maisha ni kujihangaishi ili siku zako zifike ufe tu , pambana kwa level yako wala haina haja ya kuwa bora dhidi ya mwingine ...
Huko Mbeya kuna kijana mwingine kajinyo , just assume mtoto wa miaka 26 ana watoto 3 , mimi kaka yake sina hata mmoja naweka maisha sawa. 😀 😀 Wiki iliyopita alijinyonga mmoja naye ni dereve bajaji
Sijui ni nature.. Maana asilimia kubwa ya wenye vyeo wana-jirank tofauti na wanadamu wenzao.Kiburi humsongelea karibu sana aliyefanikiwa kwa ngazi yeyote ile, ukizubaa kidogo unakikuta ndani yako.
Ni hatari.Hakika
Kipo kukuharibia mambo mazuri, unaweza tukana Mungu kikikuingia sawasawaSijui ni nature.. Maana kubwa ya wenye vyeo wana-jirank tofauti na wanadamuo.