Vyeo vya mserereko kwa walimu vimefikia wapi? Mei Mosi inakaribia

Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!

Wahusika wako humu nafikiri watalitolea ufafanuzi
 
Screenshot_20240404-105504.png

Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
Yamefikia hapo. Latest updates
 
Walimu lilieni posho ndiyo kada pekee isiyo na posho Wala over time.Mbona wafanyakazi wengine wanapata nyie TU.
 
Wapo karibia robo tatu ya watumishi wote ndio maana inakua ngumu na haitawezekana kwa bongo! Unless watu waache kuiba pesa za umma makusanyo yaongezeke.
 
Tumeisha pigwa naona kwani mwezi huu wa nne hakuna chochote
 
Wapo karibia robo tatu ya watumishi wote ndio maana inakua ngumu na haitawezekana kwa bongo! Unless watu waache kuiba pesa za umma makusanyo yaongezeke.
Unasema wapo robo tatu wakati waliobainika ni 54000?
 
Back
Top Bottom