FABIAN HERMAN
Member
- Feb 17, 2015
- 11
- 1
Jaman wana JFi tatizo langu nililo nalo vyeti vyangu vya form 4 vimetofautiana herufi ya katikati na cheti cha darasa la saba yaani baada ya kiunganishi M kuna N.
Nifanyeje jamani nisaidieni wakuu.
Nifanyeje jamani nisaidieni wakuu.