Jaman wana JFi tatizo langu nililo nalo vyeti vyangu vya form 4 vimetofautiana herufi ya katikati na cheti cha darasa la saba yaani baada ya kiunganishi M kuna N.
darasa la saba kuna cheti..mm cjawah kupewa...na mm sion kama kuna tatizo maana hakuna sehemu utakayobwa cheti cha darasa la saba..hapo labda iwe cheti cha form 4 na cheti cha kuzaliwa vikitofautina..