Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru sana kwa ushauri, nafikiri wote waliokumbwa na tatizo hili la kucheleweshewa vyeti zaidi ya mwaka sasa, ushauri ndo huo tujipange tudai haki yetu.Andamaneni..! Ungesoma kwenye vyuo vyetu (Tumaini na KIU) cheti chako unapata siku ya graduation. Hiyo ndo international standards. Tatizoi la hivyo vyuo vyenu haviendani na matakwa ya soko la ajira. Utumishi wakitangaza kazi hata sasa
watasema ASIYE NA CHETI ASIOMBE.
Utashangaa mhitimu wa KIU analamba kazi
wewe wa UD unasugua benchi, ingawa wote
mmemaliza mwaka mmoja. Nikiendelea
kuandika ntakupa machungu bure, ila ukweli ni
kwamba mnahitaji kuandamana. Mkiwa wawili tu, mkaita na media mmebeba na mabang
hayo ni maandamano tosha.
Mimi nimemaliza masomo ya chuo kikuu tangu 2013 july
Kinachoniuma ni kwamba hadi leo hii 20\5\2014 vyeti bado hatujapata na wote tulifaulu na mahafali yalifanyika 14/12/2013
TUFANYEJE?