Vyeti vya chuo bado

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Mimi nimemaliza masomo ya chuo kikuu tangu 2013 july
Kinachoniuma ni kwamba hadi leo hii 20\5\2014 vyeti bado hatujapata na wote tulifaulu na mahafali yalifanyika 14/12/2013
TUFANYEJE?
 
Andamaneni..! Ungesoma kwenye vyuo vyetu (Tumaini na KIU) cheti chako unapata siku ya graduation. Hiyo ndo international standards. Tatizo la hivyo vyuo vyenu haviendani na matakwa ya soko la ajira. Utumishi wakitangaza kazi hata sasa watasema ASIYE NA CHETI ASIOMBE. Utashangaa mhitimu wa KIU analamba kazi wewe wa UD unasugua benchi, ingawa wote mmemaliza mwaka mmoja. Nikiendelea kuandika ntakupa machungu bure, ila ukweli ni kwamba mnahitaji kuandamana. Mkiwa wawili tu, mkaita na media mmebeba na mabango hayo ni maandamano tosha.
 
Nashukuru sana kwa ushauri, nafikiri wote waliokumbwa na tatizo hili la kucheleweshewa vyeti zaidi ya mwaka sasa, ushauri ndo huo tujipange tudai haki yetu.
 
Mimi nimemaliza masomo ya chuo kikuu tangu 2013 july
Kinachoniuma ni kwamba hadi leo hii 20\5\2014 vyeti bado hatujapata na wote tulifaulu na mahafali yalifanyika 14/12/2013
TUFANYEJE?

mh nilidhani mzumbe, kumbe sio mahafal mzumbe ilikuwa 6/12 ila ni bora ungetaja na jina la chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…