Vyeti vya degree vya fungiwa maandazi

Kama ni wewe kweli basi nakushauri uende jeshini ndo mahali patakapokufaa mtu kama wewe unayekusanya takwimu kulingana na ndugu au marafiki wako mnaojazana mawazo mgando.
 
Kama ni wewe kweli basi nakushauri uende jeshini ndo mahali patakapokufaa mtu kama wewe unayekusanya takwimu kulingana na ndugu au marafiki wako mnaojazana mawazo mgando.

jaribu kumwambia wewe labda atasikia!
 
Heri yao wasiokuwa na degree maana hao wataurithi ufalme wa dunia kwa utajiri .

sio kweli kabisa mr Thomas Odera, la sivyo tupe ushahidi!

mimi natoa wangu... mithali 4:13 inasema "mkamateni sana elimu, usimwache aende zake,mshike; maana yeye ndiye uzima wako"
 
Last edited by a moderator:

Inanikumbusha kisa kimoja, nilipomaliza form six miaka hiyo ya nyuma, Kwa ajili ya likizo ndefu nokawa natafuta tempo za kufanya, sasa ktk kazi moja nikawa nafanya kazi ya kupakia makreti ya bia kwenye lori nikawa nafanya na watoto niliomaliza nao darasa la saba ...wakaanza kunikejeli iko wapi elimu yako ya form 4 na form 6, huoni tunafanya kazi pamoja na kulipwa sawa? Nilijua ni ujinga unaowasumbua..kwa sasa kuna ambao tayari wameshafariki na wengine ni wezi wakubwa. Sasa huyu jamaa asituletee Umbumbu. ELIMU NI MUHIMU SANA
 
sio kweli kabisa mr Thomas Odera, la sivyo tupe ushahidi!

mimi natoa wangu... mithali 4:13 inasema "mkamateni sana elimu, usimwache aende zake,mshike; maana yeye ndiye uzima wako"

hana digri labda,kaitafute usitafute visingizio thomas
 
Last edited by a moderator:

Degree za nini hizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…