vyeti vya kidato cha nne

vyeti vya kidato cha nne

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
habari zenu...

naomba kuuliza. hivi vyeti vya kidato cha nne huwa vinatoka lini baada ya mtihani. kuna mdogo wangu alimaliza mwaka 2008 je sasa anaweza kupata cheti??
 
Tayari vilishatoka. Huwa ni ndani ya miaka 2 vikichelewa saaaaana, yaani saaaana.
 
habari zenu...

naomba kuuliza. hivi vyeti vya kidato cha nne huwa vinatoka lini baada ya mtihani. kuna mdogo wangu alimaliza mwaka 2008 je sasa anaweza kupata cheti??

Mkuu kama alipata division zero hapati cheti, ni angalizo tu!
 
mara nying hutoka miezi 2 mpaka 3 baada ya kutoka matokeo
 
vyote vishatoka vimebaki kwa wale ambao hawajapata majibu tu
 
Back
Top Bottom