Vyeti vya Mgunda na Nabi vimewaumbua wachambuzi na wanahabari makanjanja

Vyeti vya Mgunda na Nabi vimewaumbua wachambuzi na wanahabari makanjanja

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Khabari za Juma Mgunda na Nabi kuwa hawana sifa za kuwa kwenye benchi la ufundi la simba na Yanga wakati wa mechi za CAF zilisambaa kama moto wa nyika unavyosambaa haraka na kuunguza kila kitu bila huruma.

Wachambuzi na wanahabari wetu uchwara waliumbuka sana safari hii baada ya Mgunda na Nabi kuwa wasimamizi wakuu wa mabenchi ya ufundi ya timu za kwa mafanikio makubwa, haki ya Mungu wameumbuka.

Hawataki kubalance hadithi zao kwa lengo la kukimbilia kuwa wa kwanza kutoa habari zisizofanyiwa uhakiki za kishabiki na kinazi, upuuzi mtupu.

TFF iwatungie kanuni wachambuzi na wanahabari wa michezo nchini pia zitakazowabana wakiandika uongo.
 
Back
Top Bottom