ruston8919 Member Joined Mar 31, 2012 Posts 68 Reaction score 14 Oct 1, 2012 #1 ndugu zangu wale PC'S vyet vya form 6 mwaka 2011 vimerudi baraza la mitihani na ili kupat wanadai 20,000 yani kuna usumbufu ndugu zangu, so ushari wangu fuatilieni mapema mim mwenyewe ni mhusika na kesho ndo naenda baraza kujaribu.
ndugu zangu wale PC'S vyet vya form 6 mwaka 2011 vimerudi baraza la mitihani na ili kupat wanadai 20,000 yani kuna usumbufu ndugu zangu, so ushari wangu fuatilieni mapema mim mwenyewe ni mhusika na kesho ndo naenda baraza kujaribu.
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,621 Reaction score 8,411 Oct 2, 2012 #2 Ahsante kwa taarifa nitafatilia. . .