tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
kwanza:
rekebisha heading yako, vyeti na transcripts ni vitu viwili tofauti, vyeti vilitolewa wakati ule ule wa gtaduation, tena viko poa na vinaonesha hadi degree class yako.
pili:
utakuwa unadaiwa ada wewe, nenda ukalipe then utapewa chetu chako pamoja na statement of results.
tatu:
nawapangeza zana uongozi wa prof. Ludovick kinabo, (dvc-arc) kwa kuwa makini na kuhakikisha upatikanaji wa vyeti bila usumbufu kwa wahitimu licha ya chuo kuwa kipya, nenda kawaulize cbe, tangu chuo kinaanza mpaka leo hawajui hata vyeti vikoje.
nne:
vijana kibao waliomaliza udom wameshapata ajira kwanye makampuni na mashirika makubwa kama tra, na wengine juzi walikuwa kwenye usaili wa utumishi wa umma.
Unatani wamepataje?
____________________________________
wish u all the best kwenye soko la ajira.
labda hii nayo ni moja ya vitu inayoitofautisha na vyoo vingine!Chuo cha ajabu sana hiki....vyeti vinaanza kabla ya transcripts?! UDOM si lolote,si chochote..
Chuo cha ajabu sana hiki....vyeti vinaanza kabla ya transcripts?! UDOM si lolote,si chochote..
Hivi watu washaanza kugraduate chuo cha kata???? :A S-key:
Kwa kawaida huwezi pata transcript kabla huja-graduate. Congregation ikishamalizika ndo transcript zinatolewa. Kabla ya hapo utapewa statement of results. Cheti kinatolewa wakati wa graduation au siku chache baadaye. Ila inategemea na utaratibu wa chuo husika. Uzoefu wa UDSM, cheti hupatikana baada ya mwaka mmoja, kwa sababu kwamba vinachapishwa nje ya nchi. Lakini, haki ni mhitimu kupata cheti chake siku ya kuhitimu au siku chache badaye.

kwa uelewa wangu pamoja na experience,ni kwamba vyeti huwa vinatolewa siku ya graduation, then transcript zinachkua muda kidogo,say a week after graduation.Nimepoteza kumbukumbu!! Hivi kati ya cheti na Transcript yupi baba na yupi mtoto yaani nini kinamzaa mwenzake?