Vyeti vyeti vyeti vya ardhi university.

KYALUMUKUNZA

Senior Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
145
Reaction score
28
Jamani waungwana nawaomba mnifahamishe kuhusu utolewaji wa vyeti vya ardhi university kwa wahitimu tuliomaliza
chuo ardhi university kutoka 2007-2010 umefikia wapi? tafadhali kwa yeyote mwenye ufahamu wa ndani kuhusu jambo hili anijulishe kupitia ukurasa huu wa jf kwani tumekuwa madei waka kwa muda mrefu bila vyeti ahsanteni waungwana wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…