kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
katoe taarifa kituo cha polisi then ukimaliza nenda katoe taarifa/tangazo kwenye gazeti la serikali na watakuambia tangazo litatoka ktk toleo gani then hilo gazeti likitoka chukua toleo lake nenda NECTA

Umepoteze wapi? weka wazi pls ndani ya Tanzania au nje?habari za asubuhi wakuu.
naomben msaada pakuanzia maana nimepoteza vyeti vyangu,cha chuo na form six.nianzie wapi.
plz naomben msaada wenu wa mawazo maana naamini sana hili jukwaa
Mkuu asante kwa Taarifa ambayo nami nimenufaika maana nina tatizo kama hilo. Ni namna gani ya kulikia gazeti la serekali mkuu? Na je baada ya haya yote uwezekano wa kupewa vyeti vingine upo au inakuwaje mkuu?
Cheti cha chuo unaweza kutengenezewa kingine.Ila NECTA hawatoi cheti kingine.Utapewa statement of results tu!