Reaction ya Adam inaonyesha anavuta bangi kweli. Kwanini alikasirika namna ile?Kwa jinsi vita ya kupambana na bangi ilivyo ngumu kuna umuhimu vyombo husika kufuatiria matamasha mbalimbali ya wasanii kujua nini kinachofanyika,kwa tukio lile la tamasha la uzinduzi nyimbo za kuisifu ccm lazima bangi ilikuwa inapulizwa mle mle uwanjani na Mr Polepole akisikilizia halufu lakini kwa kuwa lengo la wasanii ilikuwa kuisifia ccm hata maovu yao hayakutazamwa.
Rangi yenyewe migomba migombani inafanania m'mea..Kwa jinsi vita ya kupambana na bangi ilivyo ngumu kuna umuhimu vyombo husika kufuatiria matamasha mbalimbali ya wasanii kujua nini kinachofanyika,kwa tukio lile la tamasha la uzinduzi nyimbo za kuisifu ccm lazima bangi ilikuwa inapulizwa mle mle uwanjani na Mr Polepole akisikilizia halufu lakini kwa kuwa lengo la wasanii ilikuwa kuisifia ccm hata maovu yao hayakutazamwa.