Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

Wabara wengi tupo kimaslahi kila idara huku kuandamana hatuandamani mbaka tulipwe.
 
Umemshambulia kwa maneno makali utadhani una akili kumbe bwege kabisa! Sasa umeandika nini hapo? Labda tuanzie na hilo.
Sio jambo zuri kuweka ujinga wako hadharani namba hii.
 
Duniani kote wanajua uchaguzi wa Tanzania siyo huru na haki ni uchaguzi wa maigizo tu lakini Tume za uchaguzi zinawatangaza watu ambao siyo chaguo la wapiga kura.
 
Ndio salama yetu,
Kwasababu mbili kuu
1)Sisi kama Waafrika,hatujui tunachokitafuta hasa.

2)Hakuna Mtawala alieandaliwa kuwa Mzalendo wa kweli katika Nchi yake

Salama kwetu
Ni kukaa kimya na kuienzi amani tuliyokuwa nayo....hata kama Haki haipo
Tanzania hakuna Amani kuna uvumilivu tu Kitendo cha kuibiwa kura wanakaa kimya ni uvumilivu huo.
 
Hizo propaganda zenu zitashindwa...Watanzania wapenda Maendeleo watamchagua Magufuli.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM anatosha CCM kwa maendeleo ya Tanzania
Maendeleo yapi hayo? Mtanzania yupi anamchagua magufuli?
 
Hivi Binadamu na akili yako unatoka nyumbani kwako kwenda mitaani kufanya fujo
 
Utakufa Bure ety kisa hutak ujinga "" ingia road kaandamane kesho cha Moto utakiona. acha uchama na uwe ufikirie logically"
Ndugu yangu,
Unajivunia SMG iliyonunuliwa kwa Kodi zetu wote?
Ndugu yangu,nenda MOi kaone vijana kwa wazee wa kike na wa kiume wasio na viungo kamili lakini walizaliwa wazima kabisa,Hawa hawakua Amana.
Hata wewe waweza kuwa mlemavu kwa kugongwa na bodaboda tu.
Pita makaburini uone makaburini ya watu waliokwisha kufa uone Kama wao walimkosea Mungu zaidi kuliko wewe.
Nachoweza kukuambia utawapiga kwa SmG lakini hata wewe ipo siku mtakuwa wote makaburini mkiwa maiti.
Usijivune Sana kwa kuwa uko na wenye mamalaka.
Mkapa yuko wapi leo?
Duniani tunapita tu.
 
Msitafute huruma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..." Out of point..." Sasa Kama unaelewa Kuna kifo cha kujitakia sa cha Mpango wa Mungu kwa nini ujitakia kifo kwa kuingilia usalama wa Taifa kaa nyumbn tulie we Dingii"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…