Vyombo vya habari na kiswahili

Vyombo vya habari na kiswahili

Joined
Jan 17, 2013
Posts
28
Reaction score
3
Natarajia vyombo vya habari ndio viwe dira ya kuonesha njia katika matumizi sahihi ya lugha, lakini ukisikiliza unakuta ni madudu matupu. mfano mdogo tu ni RADIO ONE! jioni huwa wanajiunga na BBC kipindi huwa kinaitwa dira ya dunia. lakini baada ya matangazo utasikia radio one wameweka jingo inayosema "ulikuwa unasikiliza kipindi cha bbc" ndio unajiuliza sasa kilpindi ni bbc au radio ndio bbc? je radio one hawajui kuwa ile ni radio ya bbc na kipindi cha jioni ni dira ya dunia na asubuhi ni amka na bbc? ni ujinga wa nani hapo mhalili au wote tu? si wote wanasikia madudu haya! wapi weredi hapa?
 
Ni hali fulani ya kutojali tu...wakati mwingine when people are not serious with their professionanalism...
 
Ni hali fulani ya kutojali tu...wakati mwingine when people are not serious with their professionanalism...

Kweli, yapo maneno kama "nyimbo hii", wengi wanapenda sana kutumia...sijui kama kuna usahii wowote kusema hivyo.
 
Wanahabari wanatakiwa kuwa makini na matumizi ya lugha yetu adhimu ya KISWAHILI. Wajue kuwa wadau wao hupenda kitumike vizuri badala ya kukoseakosea.
 
Vyombo Vya Habari Vina Mchango Mkubwa Sana Wa Kukuza Lugha.wajitahidi Tu Kutumia Lugha Ya Kiswahili Kuliko Kingereza.
 
Vyombo Vya Habari Vina Mchango Mkubwa Sana Wa Kukuza Lugha.wajitahidi Tu Kutumia Lugha Ya Kiswahili Kuliko Kingereza.
Tatizo ni kasumba tu. Hadi hii leo watanzania wengi bado tunafikiri kuzungumza Kiingereza ni dalili ya kuwa msomi, mstaarabu, n.k. Hili nalo ni janga!
 
Back
Top Bottom