Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Leo vyombo vyote vya habari vipo busy kupost clip za RC Arusha akieleza miezi sita ya uongozi wake.
Vyombo vyote vimeachana na vifo na majanga ya ndugu zetu huko Kariakoo......kwamba kuanguka kwa ghorofa siyo habari bali miezi sita ya kisiasa ni habari.
Tunaweza tusione tatizo kama Taifa ila nchi zilizostaarabika ikitoka janga shughuli zote za serikali zinabadili muundo na key message inakuwa maombolezo.
Viongozi jitahidini japo kidogo kuvaa viatu vya wale waliopo ardhini na wale wanaosubiri hatima ya ndugu zao.
Hadi sasa hakuna hata salamu za pole kutoka kwa wizara, mikoa na wilaya. Akaunti zao za mitandao ya jamii hata DAR Tu hakuna ujumbe wa kutia moyo manusura.
Tuombeane kama Taifa.