Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 893
- 1,021
Ndugu wana jfchat napenda kuuuliza hili swali kwamba je hivi vyombo vyetu vya habari hapa nchini vinatoa mchango gani kwa watu wa chini ??
Kwa sababu kuna kero nyingi ambavo vyombo vya habari vinatakiwa kuvisema wananchi wa hali ya chini hasa vijijin ambao wengi wetu hatusikiki huko juu na hata ukipost kitu hakionekani ila tukana tu ndo watakuona kuna barabara moja katika kijiji chetu na hiyi ndo barabara kubwa inayoleta bidhaa mjini kuna wananchi ambao shughuli zao kubwa ni ukulima lakini sioni serikali anagalau hata kuchonga tu barabara hiyoo na mbuge wa huko daaah vipindi kama cha jerry muro kilichokuwa kikirushwa TBC ndo vipindi ambayo vinatakiwa kuwa hewani ili viongozi waone uwozo huko majimboni mwisho tu niseme kwamba Watu wanashabikia kiki hata vyombo vya habari vimekuwa vya kutafutia watu kiki ndo maana tunaona mpk mashoga wanahojiwa.