Vyombo vya ulinzi na nyara za serikali kuna nini?

Vyombo vya ulinzi na nyara za serikali kuna nini?

MAGEUZI KWELI

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,947
Reaction score
253
Tumesikia mengi yakihusu majeshi na police kuhusika katika usafirishaji wa nyara za serikali kama pembe za ndovu.

Hayajapoa kabisa massaa chini ya 40 police wa oasterbay ni miongoni mwa watu 9 waliokamatwa pwani wakisafirisha pembe za ndovu zaidi ya vipande 80...Wanapata wapi ujasiri na mambo haya na ni nani kawatuma? Madawa ya kulevya bado tunachanganywa ni nani kinara.na sasa mapembe ya ndovu.

Tanzania inaliwa na wachache kama njugu bila kujali kizazi kijacho na urithi wake utakuwa nini...
 
Tumesikia mengi
yakihusu majeshi na police kuhusika katika usafirishaji wa nyara za
serikali kama pembe za ndovu.
Hayajapoa kabisa massaa chini ya 40 police wa oasterbay ni miongoni mwa
watu 9 waliokamatwa pwani wakisafirisha pembe za ndovu zaidi ya vipande
80...Wanapata wapi ujasiri na mambo haya na ni nani kawatuma? Madawa ya
kulevya bado tunachanganywa ni nani kinara.na sasa mapembe ya ndovu.
Tanzania inaliwa na wachache kama njugu bila kujali kizazi kijacho na
urithi wake utakuwa nini....

tatizo si vyombo vya dola. ni hulka za watu tu na tamaa ya kutaka kupata mali za haraka kama wafanyavyo wasanii wetu. pia nadhani kuna kipindi jeshi la polisi lilizoazoa tu watu wakati wa kuajiri. matokeo yake ndo kama haya kuwa na majambazi ndani ya jeshi la polisi na kusindikiza wauza unga. nasisitiza kuwa tatizo si vyombo vyetu maana vyenyewe ndo vinawakamata watu hao na kutoa taarifa kwa umma
 
Tabia inakuwa ya mtu na sio kabila
Tatizo lipo kwa polisi mmoja mmoja
pia na vyombo vingine vya dola

Lakini kwasasa limekuwa kubwa sana
maana unajua watu huwa wanataka
maisha ya haraka sana yaani leo kazi
kesho anamiliki nyumba,magari n.k


Tatizo kwasasa ni kubwa maana kila
uchao wanaumbuana nadhani ni wenyewe
kwa wenyewe sasa.
 
Back
Top Bottom