MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Tumesikia mengi
yakihusu majeshi na police kuhusika katika usafirishaji wa nyara za
serikali kama pembe za ndovu.
Hayajapoa kabisa massaa chini ya 40 police wa oasterbay ni miongoni mwa
watu 9 waliokamatwa pwani wakisafirisha pembe za ndovu zaidi ya vipande
80...Wanapata wapi ujasiri na mambo haya na ni nani kawatuma? Madawa ya
kulevya bado tunachanganywa ni nani kinara.na sasa mapembe ya ndovu.
Tanzania inaliwa na wachache kama njugu bila kujali kizazi kijacho na
urithi wake utakuwa nini....