tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Wakaribishwe kushiriki pia tarehe 29 oct.VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KATAVI VYASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama Oktoba 3, 20205 wamefanya mazoezi ya matembezi (Route Match) kwa kutembea zaidi ya kilomita 10 kuzunguka maeneo mbalimbali Manispaa ya Mpanda.
Mazoezi hayo yamejumuisha Jeshi la Polisi, Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Idara ya Uhamiaji na Idara ya Usalama.
Soma pia: Golugwa: Vyombo vya ulinzi na usalama visiwashambulie raia
View attachment 3482701
Lengo la matembezi hayo ni kuimarisha mshikamano baina ya vyombo vya ulinzi na usalama, kujenga afya ya mwili na akili na kuendelea kujiweka tayari katika kulinda amani na usalama wa raia na mali zao.
Akizungumza baada ya mazoezi hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Kaster Ngonyani amewapongeza washiriki wote na kuhimiza kuendeleza mshikamano katika kuhakikisha ulinzi na usalama unaendelea kuimarika.
Wewe sogeza pua hiyo tarehe utajua hujui.Wakaribishwe kushiriki pia tarehe 29 oct.
Kutisha wananchi baada joto la maandamano na huu ndo ukweli!Lengo la matembezi hayo ni.....
Asogeze wapi? Watajua yupi anaenda kuandamana yupi anaenda kupiga kura ?Wewe sogeza pua hiyo tarehe utajua hujui.
Hapo pichani wengi wao mishahara yao ipo chini ya 1M na wengi wao hawana vyeti walau form 4.VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KATAVI VYASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama Oktoba 3, 20205 wamefanya mazoezi ya matembezi (Route Match) kwa kutembea zaidi ya kilomita 10 kuzunguka maeneo mbalimbali Manispaa ya Mpanda.
Mazoezi hayo yamejumuisha Jeshi la Polisi, Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Idara ya Uhamiaji na Idara ya Usalama.
Soma pia: Golugwa: Vyombo vya ulinzi na usalama visiwashambulie raia
View attachment 3482701
Lengo la matembezi hayo ni kuimarisha mshikamano baina ya vyombo vya ulinzi na usalama, kujenga afya ya mwili na akili na kuendelea kujiweka tayari katika kulinda amani na usalama wa raia na mali zao.
Akizungumza baada ya mazoezi hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Kaster Ngonyani amewapongeza washiriki wote na kuhimiza kuendeleza mshikamano katika kuhakikisha ulinzi na usalama unaendelea kuimarika.
Maandamano kama yale ya juzi kupiga miundombinu na mawe?Kutisha wananchi baada joto la maandamano na huu ndo ukweli!
Natarajia kwa uovu wanaotwkeleza na waliotekeleza nisikie siku wana shiriki zoezi na kuuana wenyewe kwa wenyewe kwani wameshalevyiwa na damu zisizona hatia.VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KATAVI VYASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA