Vyombo vya ulinzi na usalama vichukue haraka hatua hizi.

Vyombo vya ulinzi na usalama vichukue haraka hatua hizi.

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,149
Reaction score
3,209
Kutoka na hali ya ulipuaji mabomu katika jiji la Arusha unaoendelea wakati huu wa ujio mkubwa wa watalii nilazima serikali iimarishe ulinzi kwenye maeneo yafuatayo.

Hotel zote za kitalii.

masoko makubwa ya vinyago na bidha za asili.

kumbi zote za starehe.

Migahawa yote ya kitalii.

maeneo yote yenye makumbusho.


Mwisho sehemu zote zenye mkusanyiko mkubwa wa watalii.
serikali isipochukua hatua sasa ya kuimarisha ulinzi kwenye maeneo hayo itakuja kujibu kwa yatakayotokea baadae.
 
Hii post ndio naiona leo...duh moderators sio fresh hivo
 
Back
Top Bottom