Vyombo vya ulinzi na usalama wanasiasa si wenzenu

Vyombo vya ulinzi na usalama wanasiasa si wenzenu

Kamkunji

Senior Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
106
Reaction score
329
Nchi zetu hizi mwanasiasa ana nguvu kuliko mtu yeyote, ndiyo maana anaweza asiwe na imani na CDF ikapigwa figisu akatolewa, au DGIS ikapigwa figisu akatoka, ama IGP inapigwa figisu anatoka.
 
Nchi zetu hizi mwanasiasa ana nguvu kuliko mtu yeyote, ndiyo maana anaweza asiwe na imani na CDF ikapigwa figisu akatolewa, au DGIS ikapigwa figisu akatoka, ama IGP inapigwa figisu anatoka.
Hujui unaongea nini
 
1,,,:"CDF mimi siwezi kupona naomba nipelekwe nyumbani nikafie huko".

2,,,:"CDF hivi unashindwa kutoa amri kwa hawa madaktari mimi nipelekwe nyumbani nikafie huko?"
😭😭😭
 
Hata hivyo hii nchi mmezidi kuvitenganisha vyombo.

Inatakiwa hivyo vyombo vya usalama vifanye kazi na wanasiasa kuijenga na kuiweka nchi katika mazingira rafiki kimaendeleo.

Tusifanye fallacy ya othering kila kitengo. Maaana ukipitiliza hapo utasema wananchi nao wasishirikiane na wanasiasa. Na wanajeshi nao wasishirikiane na wananchi etc
 
Back
Top Bottom