Vyombo vya ulinzi vya Tanzania jiandaeni na uvamizi wa majasusi wa Rwanda. Sababu ni hii hapa...

Ndugu zetu wa-Nyarwanda especially wale wa RPF hivi ni kwanini hampendi upinzani huko kwenu? yaani kila siku ni kulalamika tuuu, mara hwa wameungana, mara hawa wako TZ kwa JK, hivi hii kitu itaisha lini?:frown:
 
 
huyu ----- kweli anawafananu wa TZ na wale wacheza ndombolo mnaowasumbua mnavyota wakati tunabadilika
 
Hata kama isingekuwa taarifa hii watanzania kuwa makini na hao watu ni swala la msingi! kwa mtazamo wangu urafiki tulionao na Rwanda ni wakinafki tu! tumewaharibia game lao DRC wewe unadhani wanaweza kutupenda kwa lipi? they have a plan to enrich themselves even through primitive accumulation of capital. whether we like or not we suppose to be careful of them. our habit of taking things easily is not a good habit now day! be careful guys this is our land!
 

Pumba za kuku.
 
Mwisho wao ushafika...hata hao wanaojiita waha, wahangaza nk..tulizani wenzetu kumbe wana yao..

wewe utakuwa mhutu uliyejipa uraia wa Tanzania.Jina lako tu latosha kuthibitisha hili.Acha Chuki zisizo na msingi,Kama ni chuki walitakiwa kuwa nazo watutsi kwa mlichowafanya miaka ya nyuma.
Chuki hazitokufikisha popote mkuu.
 
wewe utakuwa mhutu uliyejipa uraia wa Tanzania.Jina lako tu latosha kuthibitisha hili.Acha Chuki zisizo na msingi,Kama ni chuki walitakiwa kuwa nazo watutsi kwa mlichowafanya miaka ya nyuma.
Chuki hazitokufikisha popote mkuu.

Vyovyote utakavyoniita haijalishi!.. Na wewe ni mtutsi maana naona unajaribu sana kupindisha historia ya mahusiano kati ya wahutu na watutsi kwa aidha makusudi au kwa kutokujua!... ungejaribu kujibu hoja sio kupachikana makabila. Mimi sio mhutu kwa taarifa yako!... ILA UKWELI NDIO HUO kwamba kwa maneno ya kagame tushawajua akili zenu zilivyo na hili litajulikana hata kwa watoto wadogo. SIna chuki na watutsi nina chuki na tabia zenu za kishetani! PERIOD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…