Vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme badala ya mafuta sio muda mnasubiriwa mjae kwenye 18 za serikali

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Matumizi ya vyombo vya usafiri vinavyotumia umeme kama baiskeli za umeme,pikipiki za umeme,matoroli ya umeme kwa sasa ndio yamekuwa mengi kusupply mizigo mfano karikaoo.

Matumizi mengi ya vyombo hivi yameongezeka kwa watumiaji wengi hususan wale ambao wanaishi karibu na shuguli zao.

Kwa serikali yetu inavyopenda kodi subirini waje na plate number zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…