KERO Vyoo Stendi Kuu ya Nanenane (Dodoma) hali siyo nzuri, vile vya Walemavu wamevifunga

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
879
Reaction score
814
Nimefika kwenye Vyoo vilivyopo kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi upande wa Wanaume mazingira yake siyo mazuri, sehemu za huduma ya haja ndogo yale ma-sink yameondolewa.

Wahusika wanaosimamia wanatoza Shilingi 300 kwa kila mtu anayeingia hapo lakini hali ndio kama hivyo unavyoiona, kwa ufupi usimamizi ni mbovu.

Pia kwa jumla vyoo vipo kwenye hali ya uchafu na sink za maji pia sio safi, maji yanayotumika ni ya kwenye ndoo ambayo yametuama na kwa mazingira yalivyo siyo salama kutumia.

Upande wa Choo cha Watu Wenye Ulemavu kimefungwa hakitumiki, yaani tabu tupu.






 
Hakika hii hali inasikitisha! kituo hakina muda mrefu kama hali imefikia hivi inafikirisha sana
 
Usimamizi mbovu,watu hawako serious kabisa,ni mpaka waziri aende pale kutoa tamko ndio watu wafanye kazi,na kwakuwa hakuna kuwajibishana haya ndio matokeo yake,inasikitisha sana...
 
Usimamizi mbovu,watu hawako serious kabisa,ni mpaka waziri aende pale kutoa tamko ndio watu wafanye kazi,na kwakuwa hakuna kuwajibishana haya ndio matokeo yake,inasikitisha sana...
Watumishi wanafanya kazi kwa matamko badala kutimiza majukumu yako
 
Shida ni tabia za watumiaji hasa wagogo na wasukuma wanapanda juu ya hivyo vyoo vya kujisaidia haja ndogo na wengine wanachambua magunzi na mawe. Kuanzia sasa mtajisaidia kwenu ua kama vp tembea na mfuko wako au ndio ndogo ukipata haja unarekebisha fasta
 
Na ushuru wa kuingia stendi tunalipa..
Pesa za kuendesha stendi zinaendaga wapi?
 
Wanapanda kivipi?
 
Ndio afrika ilivyo hata kuongoza choo hatuwezi Kisha unakuta watu wanalaumu
Choo tu kinatushinda ije kuwa bandari
 
Hatari sana, tushafika stendi ya wilaya fulani tukakuta vyoo vimepigwa kufuli kumuuliza mlinzi inakua vipi hapa, mlinzi akajibu kwamba wameambiwa wafunge mida hiyo kwa sababu watu wanakuaga wengi.

Ikabidi yupunguze maji nyuma ya vyoo vyenyewe na kumwambia mlinzi mpe salamu mkurugenzi
 
Usimamizi mbovu,watu hawako serious kabisa,ni mpaka waziri aende pale kutoa tamko ndio watu wafanye kazi,na kwakuwa hakuna kuwajibishana haya ndio matokeo yake,inasikitisha sana...
Kabisa
 
Hatari
 
Reactions: Lax
"Mkuu wa mkoa yupo, mkuu wa wilaya yupo, mkurugenzi yupo, mbunge yupo, diwani yupo na kadhalika". Wote hao wameamua liwalo na liwe🤔
 
Unaenda nanenane kwenda kujisaidia au kwenda kuoangalia maonyesho? Kajisaidie kwenu
 
"Mkuu wa mkoa yupo, mkuu wa wilaya yupo, mkurugenzi yupo, mbunge yupo, diwani yupo na kadhalika". Wote hao wameamua liwalo na liwe🤔
Afisa mtendaji yupo,meneja wa stand yupo.lundo la watu but useless.hv wasafiri wa nchi za watu wakikuta vyoo vya aina hii wanatuchukuliaje?ni kama tuliwafukuza wkoloni mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…