Unajua Usafi wa vyoo kwa kiasi kikubwa unategemea watumia vyoo
Kuna watu wachafu sana kwenye matumizi ya vyoo kwani huvitumia na kuviacha Vichafu bila kujali atakayeingia baada yake. Baadhi ya watu wakisha jua kuna mtu ameajiriwa kusafisha choo wanafikiri maana yake ni uache choo kichafu ili asafishe....
Na hivi vya kukaa ndio majanga (havifai kabisa) kwa mazingira ya jumuia ambapo watu wengi bado hawawezi kujisimamia