Hicho kituo ni janga lingine tulilo shindwa kulisimamia wenyewe, inaumiza sana kitu kinajengwa tunakiona, kinafunguliwa tunakishangilia ngoma usimamizi sasa ndio maajabu ya TZ yanapo anzia.NIMESIKITIKA SANA SANA
JANA NIKITOKEA KWA MATHIAS
NKASHUKA MBEZI MWISHO
NIPUNGUZE MAJI KIDOGOOOOP
AJABU UWIII CHOO CHA KWANZAA NAKUTA MZIGOO WA CHOOKIKUBWA UNAELEA NKAHAMIA KWINGINE SAME
NKAHAMIA KWINGINE NKAKUTA HAKINA MZIGO NIKAKOJOAAAA AJABU NATAKA KUJIFUNGIA UWIIII AISEE HATAREE VYOTE HAVINA LOCK YA KUJIFUNGIA
HIVI HIZI PESA MNATUTOZA MNAPELEKA WAPIII
NA SIKUHIZI HATA TKT HAWATOI TENAA
Kuleni kwa urefuu wa kambaa zenuu ilaa kumbukeni afya zetuu basiii
Nimejibiwa live hakuna zimeishaWanaopokea pesa za huduma ya choo wanaficha pesa. Usipochukua risiti serikali inakuwa imepoteza mapato. Ukiingia chooni dai risiti. Stand nyingi hasa za mabasi makubwa wale wanaopokea pesa wanajifanya kukukaushia risiti. Dai risiti kisha ichane uitupe.
Ungewaambia wakurudishie pesa yako. Huo ni wizi na serikali yenyewe ipo ipo tu haifuatilii wizi huo wa mapato. Vyoo vyote vya maeneo ya serikali usipoomba risiti hawakupi wanajifanya wamesahau. Mapato yanaenda kwa watu binafsi ndio maana unakuta vyoo ni vichafu. Angalia vyoo vya kulipia vya watu binafsi unakuta ni visafi muda wote.Nimejibiwa live hakuna zimeisha
Hapoo n sawa na kukwambia amua unataka kunya hutakii
Ndugu nkajiongezs kimyakimya chooni
Nimesikitika sana sana
Jana nikitokea kwa mathias
Nkashuka mbezi mwisho
Nipunguze maji kidogoooop
Ajabu uwiii choo cha kwanzaa nakuta mzigoo wa chookikubwa unaelea nkahamia kwingine same
Nkahamia kwingine nkakuta hakina mzigo nikakojoaaaa ajabu nataka kujifungia uwiiii aisee hataree vyote havina lock ya kujifungia
Hivi hizi pesa mnatutoza mnapeleka wapiii
Kuleni kwa urefuu wa kambaa zenuu ilaa kumbukeni afya zetuu basiii