VYOO vya UDSM vinatia aibu (95% VIMEZIBA)

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Nikiwa nimejiunga UDSM mwaka huu kwa ajili ya kuongeza Elimu toka nimeingia hapa mtu ukibanwa na haja inabidi ujifikirie mara mbili ama uende porini (Hasa Pori lile la Kuelekea Changanyikeni au ukimbilie Mlimani City, Jana nilibanwa na haja kubwa kila choo ninachokwenda KIMEJAA?KUZIBA nilianza kule COET, kisha nikaja Botany, Maktaba, SRs, Mathematics, Physics vyote veiba/kujaa hivyo huwezi kukitumia. Ninachjiuliza je Uongozi wa Chuo Kikuu ualiona hili? juma ya 15,000 mlionao na hv vyoo kujaa hamuoni ni hatari? mnataka tukajisaidie porini mpaka lini? bora Sisi Wanaume tunaweza kujistiri huko porini zaidi nawaonea huruma kina dada. Na hali zao si rahisi kusthimili seemu yenye tatizo a vyoo.
 

Tatizo na matumizi wengi wetu tulikuwa tunatumia vyoo vya shimo inashangaza wawe kukuta hata mawe chooni, karata (simaaanishi toilet paper)
 
Ivi unajua hueleweki , wafate viongoz wa Daruso uwa ambie ,c o una chafua chuo chetu mtandaoni ,shit !!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…