D D.I.G Member Joined Jun 9, 2013 Posts 61 Reaction score 2 Mar 16, 2015 #1 Hi! Wanajamii naomba mnisaidie chuo ambacho kinatoa distance learning kwa level ya diploma kwa hapa nchini kwa masomo ya engineering. Masomo hayo yaweni diploma ya Electrical Engineering, Mechanical Engineering na Electronics. Asanteni sana.
Hi! Wanajamii naomba mnisaidie chuo ambacho kinatoa distance learning kwa level ya diploma kwa hapa nchini kwa masomo ya engineering. Masomo hayo yaweni diploma ya Electrical Engineering, Mechanical Engineering na Electronics. Asanteni sana.