Waswahili tumepatikana!
Pesa sasa imepata thamani na naendelea kuadimika.
Miaka hiyo ukipata demu ku spend utaambiwa laki si pesa(Tshs 100,000/=).
Mika ya karibuni na hata sasa hivi unaambiwa nguvu ya buku(Tshs 1,000/=).
Majui nimeona vijana wakitwangana Makonde mazito mazito baada ya mmoja kumdhulumu mwenziwe hs 200/=.
Inaelekea sasa tunaelekea nguvu ya Jero(500/=)
Kazi kwer kwer!