Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Una roho mbayaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na bado
weka kapicha ili tuaminiSasahivi tunabanana hapa hapa, siamini kama nawewe (Sepetunga) sikuhizi unafanyia shopping kariakoo. Ahsante Mr President.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]weka kapicha ili tuamini
Baraka ni kwenda shopping Dubai siyo!Wabariki wengine ili na wewe upate baraka za Mungu
Chuki hupofusha macho na moyo wa mwenye nayo
[emoji23] [emoji23]Akienda kariakoo mama madenge anapata pesa anlipia mwanae ada,,sasa huko dubai ndio inakuwaje,,,maisha yana mifumo mingi huu nao ni mmoja wapo,,acha tubanane hapa hapa(kuomba punguzo)
Hahahahahahahahahaweka kapicha ili tuamini
Bila picha ni uongo na uzushi tuu.