katika kitu nimeshindwa jizuia... ni kutokunywa bia 3 kila siku.. uzuri wake safari ndogo tu 3 ni 5100 tu..
ujanja ni kuongeza source za vipato usitegemee chanzo kimoja.. maana wengine bila kabia usingizi hauji ni kama mateja alosto...
sisi wazee wa kubet vyuma lainiSukuhizi [emoji481] unakunywa mwisho wa mwezi ukipokea tu mshahara. Ukisahau kunywa siku hiyo hunywi tena mpaka next pay day.
Siku hizi tunakunywa maji tu, soda unajifikira kwanza kabla hujainunua. Ugali mchicha maharage, wali kabichi, dagaa ugali maharage ndiyo menu maarufu mjini.
Matatizo ya kisukari na mapigo ya moyo kwenda kasi yamepungua kwa wengi.
Sikuhizi hufanywa mazoezi kwa kupenda, unatembea kusikia sh500 ikufae kesho.
Shikamoo Magufuli.