Vyuma vimesababisha watu wasiende chooni

Jamaangu anamiliki gari la kunyonya vyoo amenilalamikia watu hawanyi.i kabisa awamu hii kiasi kwamba kwa Siku zamani anapiga trip 7 hadi kumi sasahivi hata 3 hapati,hali mbaya sana
Hahah noma noma
 
Mwambie abadilishe biashara.
Maisha kama magumu.achana nayo Fanya vitu vingine
 
Jamaangu anamiliki gari la kunyonya vyoo amenilalamikia watu hawanyi.i kabisa awamu hii kiasi kwamba kwa Siku zamani anapiga trip 7 hadi kumi sasahivi hata 3 hapati,hali mbaya sana
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi huwa najitahidi kwa wiki niende chooni mara Mbili Jumatano na Jumapili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…