Vyuma vinazidi kukaza ,utapeli nao unazidi (Tukutane tuliopokea sms kama hizi)

Vyuma vinazidi kukaza ,utapeli nao unazidi (Tukutane tuliopokea sms kama hizi)

Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
43,973
Reaction score
150,463
Vyuma kuzidi kukaza na kukazana ndo watu wanazidi kuumiza vichwa ili kuwaingiza mkenge watu wengine japo wengi tushakuwa makini make huu mwaka kila mtu anatafuta wa kumalizana nae kama mimi jamaa alivyotaka kumaliza na mm mwaka vizuri ....

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..
565b8c660fdf184c7943c95c6fbe134e.jpg

Mwenye namba hiyo ndo msambazaji
 
Vyuma kuzidi kukaza na kukazana ndo watu wanazidi kuumiza vichwa ili kuwaingiza mkenge watu wengine japo wengi tushakuwa makini make huu mwaka kila mtu anatafuta wa kumalizana nae kama mimi jamaa alivyotaka kumaliza na mm mwaka vizuri ....

31f4639a32014f0a5a1d2e6e6f9719a5.jpg

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo namba inayoonekana kwenye screenshot juu ni yako?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Na mimi nimesha tumiwa ujumbe kama huu mara mbili kwenye number zangu mbili tofauti, na number inayotumika ni hiyo hiyo..,
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom